Producer Vin

Fredyrasta
Mysore imekuwa na historia ndefu kwa Watanzania tangia miaka 60 wamekuwa wakija kupata elimu na kuondoka, miaka ya karibuni tuliona Vipaji vya hali ya juu kutoka kwenye soka ya miguu mpaka,mpira wa Kikapu.
Vipaji vya mpira vilivyoonekana wakati huo kutoka kwa akina Saphy's(Salehe na Hussein)ni moja ya changa moto tosha ,pia kwenye mpira wa Kikapu Baraka Matawalo anastahili sifa.
Wajasiliamali nao hawakuwa nyuma wengi waliomaliza hapa 1997 na 2001 wametoa changamoto ambazo zinaonekana wazi na kwa waliomaliza 2007,mfano Kijana Wanda ama Steven Mzaba na Joshua Kazi 2009 ambao wamejikita kweli kweli kwenye ujasiliamali.
Leo katika wimbi la vipaji basi tuwaone vijana watatu katika swala zima la Burudani,Producer Vin,Man Kim na Fredy rasta ,pitisha wacho kwenye blog hii utapata habari zao wassapebongoproduction.blogspot.com






